Sunday, July 1, 2012

JENGO LA GHOROFA LASHIKA MOTO DAR

Jengo la ghorofa lililopo makutano ya Mitaa ya Livingstone na Kariakoo jijini Dar es Salaam, likishika moto leo mchana kutokana na sababu ambazo hazijajulikana mara moja. Moto huo umesababisha chumba kimoja kilichokuwa na chupa kibao za manukato kuteketea vibaya. (Picha na Emmanuel Helman)

No comments:

Post a Comment

Idadi ya Wanaoperuzi Blogu hii