Friday, June 29, 2012

RASILIMALI YA TAIFA YA WANYAMA MBUGA YA MIKUMI

 Twiga aliyeshiba vizuri akikatiza barabara ya Morogoro-Iringa, kwenye mbuga ya wanyama ya Mikumi mkoani Morogoro,juzi
 Twiga akiwa ametulizana kandoni mwa barabara katika mbuga hiyo
 Kundi la Twiga kwenye mbuga hiyo
 Twiga wakiwa wamechanganyika na Pundamilia kwenyembuga hiyo
 Twiga wanavyoishi kwa raha zao kwenye mbuga hiyo

No comments:

Post a Comment

Idadi ya Wanaoperuzi Blogu hii