Friday, June 29, 2012

WAZIRI WASIRA APATA MSIBA, AFIWA NA MAMA YAKE

Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitia heshima zao za mwisho kwa mwili wa mama wa Waziri Steven Wasira (kushoto), leo nyumbani kwa Waziri Wasira, Masaki jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Idadi ya Wanaoperuzi Blogu hii