Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki Moon akizungumza wakati wa hafla aliyoaindaa kumuaga rasmi Naibu Katibu Mkuu wa UN, Dk. Asha- Rose Migiro Makao Makuu ya Umoja wa maifa mjini New York, Marekani, jana. Dk. Asha Rose Migiro (kushoto) anaondoka UN baada ya kutumia umoja huo kwa miaka mitano na nusu. Wa pili kulia ni Profesa Cleophas Migiro, mume wa Dk. Asha-Rose. (Na Mpigapicha Maalum, UN)
Dk. Asha-Rose Migiro akizungumza wakati wa hafla hiyo
Watu wakijichanganya kwenye hafla hiyo
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akiwa na Mkewe, wakiwa na Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Asha-Rose Migiro na Mumewe, Profesa Cleophas Migiro wakati wakisubiri kusalimiana na wageni waalikwa wakati wa hafla ambayo Ki Moon aliandaa kwa ajili ya kumuaga Dk. Asha Rose Migiro.
Na Chiaziiiiiiiiiiiiiiiii iligongeshwa, Katibu Mkuu akitakiana kila la kheri na Naibu Katibu Mkuu, Dk. Asha Rose Migiro, kulia ni Mkurugenzi wa Ofisi ya Naibu Katibu Mkuu, Bw. Anyanga.
Dk Asha Rose Migiro akimtambulisha mumewe kwa mmoja wa waalikwa kwenye hafla hiyo
Profesa Migiro akiwa na Bint yake, Chansa- Jasmin wakifuatilia makini
Bi Amina Mtengeti akinywa kinywaji chake baada ya kigongeshana chiaziiiiii na Katibu Mkuu Ban Ki Moon
Dk Migiro akibadilishana mawazi na Ki Moon
Dk. Asha-Rose Migiro akiwapigapicha Binti yake na Ban Ki Moon
No comments:
Post a Comment